WELCOME TO MY BLOG

Friday, October 1, 2010

GAZETI LA NGONO KWA AJILI YA VIPOFU!!!!


Gazeti la ngono maalumu kwaajili ya watu wasioona limezinduliwa nchini Kanada likiwa na picha za ngono na hadithi za ngono.

Gazeti hilo linatumia herufi za maandishi ya wasioona kuchora picha za wanawake na wanaume wakiwa uchi huku picha hizo zikiambatana na maandishi yenye stori za ngono ngono.

Gazeti hilo limezinduliwa wiki hii nchini Kanada likiwa ni wazo la Lisa Murphy na gazeti hilo linakwenda kwa jina la "Tactile Minds".

Gazeti linalodaiwa kuwa la kwanza duniani la ngono kwaajili ya watu wasioona linauzwa bei ghali sana sawa na Tsh. Laki tatu.

Lisa alisema kuwa aliamua kuanzisha gazeti hilo ili kuziba pengo kwenye soko la ngono ambapo watu wasioona wameachwa mbali.

"Hakuna kitabu cha picha za ngono kwaajili ya wasioona", alisema Lisa.

"Tunafungua uwanja mpya, Jarida la Playboy lilikuwa na maandishi ya Braille lakini halikuwa na picha za ngono"

Katika miaka ya kati ya mwaka 1970 na 1985, Playboy walichapisha baadhi ya nakala za gazeti lao maarufu la Playboy katika maandishi ya braille lakini hakukuwa na picha.

Lisa alisema kuwa nakala yao ya kwanza ya gazeti la ngono kwaajili ya wasioona lina jumla ya picha 17 zilizochorwa kwa kutumia maandishi ya Braille.

Lisa aliendelea kusema kuwa watu wasioona watavuta hisia zao kwa kuzipapasa picha hizo zilizochorwa kwa ustadi mkubwa.

250 YA NAULI YATAKA KUMTOA ROHO



Kijana mmoja mtanashati a.k.a brotherman wa nguvu, leo amegombaniwa kama mpira wa kona baada ya kushindwa kulipa nauli ya Sh. 250 tu, kwenye Dalalada linalofanya safari zake kati ya Tandika na Mwenge Jijini Dar es Salaam. Tozi huyo ambaye alilipuka viwalo vya maana...


Tozi huyo ambaye alilipuka viwalo vya maana alijaribu kutaka kushuka katika kituo cha mabasi Karume Ilala, lakini aliwekewa ngumu na kondakta na kurejeshwa ndani ya basi kwa nguvu kisha kupelekwa hadi Mwenge na kuachwa kituoni ili atafute usafiri wa kurudia.

WAPENDA MAGARI JIANDAENI KUPAA !!

Haya wadau jiandae kupaa sasa na muondokane na foleni,sikuhizi barabara hazina maana na matrafiki watakufa njaa




Tukae mkao wa kula, wanasayansi wanazidi kufanya mambo yao, sasa wanatuletea magari yanayopaa a.k.a Flying Cars. Usipate tabu kuunga foleni pale ubungo, wewe washa Engine yako ya ndege kisha ruka mwezini kama njiwa, au siyo!!
Magari hayo bado yanakaguliwa, endapo kila kitu kitakwenda sawa, yataruhusiwa kwenda angani mwaka 2012

Thursday, September 30, 2010

Monday, September 27, 2010

DOWNLOAD MAMA NTILIE VIDEO

Jamani hii video ni ya ukweli vibaya,yani usiipimie...hawakoseagi hawa uswazi,wanatoa masongi ya ukweli.
Haya mimi sio mchoyo kwa wale watu wapenda masongi ya aina hii,lidownload hapa

bonyeza hapa kudownload

Ukishadownload acha comment basi,japo useme asante

Sunday, September 26, 2010

FREE PC GAMES



it is possible to have this cool game

hey guys in East Africa,i know that you face a problem of scarcity of free and downloadable games,also you have slow network connection.Henceforth here are few sites offering free compressed and full version games
www.ensoftonic.com
http://www.games-downloadlinkz.com/
http://www.blogcatalog.com/blog/free-compressed-games-and-software/
http://freegamezandsoftware.blogspot.com/

Enjoy and dont forget to say thanks

GAMING DEVELOPMENT

Hello guys,nowdays there is no need for buying a Playstation,Xbox,Gameboy Advance,PSP or Nintendo Wi.What you need is a powerful computer(laptop) and a right emulator which can be obtained from emulatorzone.com
After you download PS emulator you can play any game for PS2 or PS3 just insert the right CD
ALso any gameboy advanced,PSP or Nintendo Wi game which you can download from emulatorzone.com

CHANGE YOUR FOLDERS STYLE

Hello guys,this is special for people who love to make the computers unique and classic.Here is a little software which will make you folders look like heaven.Copy this and paste into your browser adress bar:
http://download.cnet.com/Folderico/3000-2318_4-10545126.html

HOW TO DOWNLOAD YOUTUBE VIDEOS

Hey guys i think most of you fail to download videos form youtube thinking that the videos are just for watching online.NO there is a way to download discovered by me.Just follow the following simple steps
1.Copy the url of the video you want download,which is displayed on the adress bar when you open the video for watching e.g http://www.youtube/videos/watch=Dy456z
2.Open the website downloadyoutubevideo.org
3.Paste the url you copied
4.Click fetch download link
5.Click download

Tuesday, August 31, 2010

MACHO YA KICHINA


Jamani mchina ana akili siku hizi anatengeneza hadi macho ya bandia,hebu cheke hapo juu....hili jicho kwa chabo ni noma

Sunday, August 22, 2010

MAPOZI MENGINE BWANA


Jamani wadau mapozi mengine tuwe tunaangalia bwana sio mtu unapiga pozi la ajabu,mwishowe utavunjika mguu bwana........hataaaaaaaari acha bwana

MANYAUNYAU KAZINI

Jamani kwa wale waaminio mambo ya kishirikina...haya daktari wenu yuko kazini hapa
Bila haya mabo mtaani siku haziendi,saluti zako DOKTA MANYAUNYAU

MMMH USINGIZI BWANA




Usingizi kitu caha ajabu sana yani unaweza hata kuaibika kwasababu usingizi hauchagui mahali wala aina ya mtu.....uwe bungeni,darasani,kanisani au msikitini utakufata tuu!!
Hebu cheki jamani usingizi unavyoaibisha......!!!!!

MY SISTER



Hapa nilikuwa na sister VIOLETH tunauza sura christmas ya 2010, e msishangae sana basi!!!!!!

GOOD NEWS


Hello visitors a new blog namely Rodrick 4 Real has been launched today,its main objective is to provide information about technological aspects such as free Internet,SMS and GPRS.It also provide some hacking tips and tricks for various cellular networks
Make sure you visit it for daily updates of hacking tips and secrets plus news about fascinating ideas and latest technology
the first Tanzanian website dealing with technology